Tungo Zetu: Msingi wa Mashairi na Tungo Nyinginezo, (Hardcover)

★★★★★ 5.0 121 reviews

US$14.00
Price when purchased online
Free shipping Free 30-day returns

Sold and shipped by radioware.co.uk
We aim to show you accurate product information. Manufacturers, suppliers and others provide what you see here.
US$14.00
Price when purchased online
Free shipping Free 30-day returns

How do you want your item?
You get 30 days free! Choose a plan at checkout.
Shipping
Arrives Aug 25
Free
Pickup
Check nearby
Delivery
Not available

Sold and shipped by radioware.co.uk
Free 30-day returns Details

Product details

Management number 240726606 Release Date 2026/07/16 List Price US$14.00 Model Number 240726606
Category

<p>Wataalamu wa lugha na fasihi na mila za watu mbalimbali wametuzindua juu ya utajiri wa fasihi ya Waswahili. Katika fasihi hiyo, tungo za Kiswahili ndilo jambo lililojitokeza mbele kwa mwanga wenye kunawiri sana. Profesa Ibrahim Noor Shariff amefanya utafiti mkubwa kabla ya kukiandika kitabu hiki. Natija yake ni kuwa yaliyoelezwa humu yametufunulia mengi yaliyokuwa dafina. Tokea 1988 kilipochapishwa kitabu hiki kwa mara ya kwanza kimekuwa ni kitabu cha kukirejelea kwani kinaeleza yale ambayo watungaji wa tungo za Kiswahili, wataalamu, waalimu na wanafunzi wanaotaka kuelewa khabari za tungo huwa wanakirejelea mara kwa mara ili kupata jawabu za masuala yao.</p><p></p><p>Kitabu hiki kimepangwa vizuri sana kwani kila maudhui yameandikwa chini ya kichwa cha khabari kinachoelezea maudhui yanayofuata. Hali kadhalika, kitabu kina mifano ya tungo za kupigiwa mifano. Yoyote anayetaka kuzungumza khabari za tungo za Waswahili hataweza tena kujadili mengi ya maana iwapo atajinyima fursa ya kusoma yaliyoandikwa katika kitabu hiki cha Tungo Zetu.</p>

  • Tungo Zetu: Msingi wa Mashairi na Tungo Nyinginezo, (Hardcover)
  • Author: Afrabia Publishers
  • ISBN: 9781739317508
  • Format: Hardcover
  • Publication Date: 2023-02-06
  • Page Count: 222
Book format Hardcover
Fiction/nonfiction Non-Fiction
Genre Textbooks
Publication date February, 2023
Pages 222
Subgenre Swahili
Series title No Series
Number in series 0
Edition 1
Publisher Afrabia Publishers
Original languages Swahili
Language Swahili
Edu focus Languages
Educational level General
Is collectible N
Binding type Case Binding
Recording time 0 min
Retail packaging Single Piece
Assembled product dimensions (l x w x h) 6.00 x 0.63 x 9.00 in
Assembled product weight 1.03 lb
Bisac subject heading Language Study

Correction of product information

If you notice any omissions or errors in the product information on this page, please use the correction request form below.

Correction Request Form

Customer ratings & reviews

5 out of 5
★★★★★
121 ratings | 50 reviews
How item rating is calculated
View all reviews
5 stars
90% (109)
4 stars
0% (0)
3 stars
0% (0)
2 stars
0% (0)
1 star
10% (12)
Sort by

There are currently no written reviews for this product.